Ruka kwenda kwenye maudhui
mbingasecondaryschool@gmail.com Mbicu, Mbinga Mjini B, Mbinga Town Council, Ruvuma, Tanzania
Tafuta
UPDATES
ACTIVITIES

ACTIVITIES

Kila tofari linalowekwa ni hatua kuelekea mazingira salama, imara na bora zaidi ya kujifunzia kwa wanafunzi wetu. Kwa pamoja, tunajenga shule bora na msingi wa maisha yenye mafanikio.

Tafuta unachohitaji

Huduma na taarifa za mtandaoni

Access the most important services, resources, and public information From Institution.

Announcements and Updates

Angalia yote

Hakuna matangazo kwa sasa.

What people are saying

Utengenezaji wa tovuti rasmi ya Shule ya Sekondari Mbinga, umekuwa mradi wenye maana. Lengo lilikuwa kujenga jukwaa la wazi, la kisasa na la kuaminika ambapo wazazi, wanafunzi, wahitimu na jamii wanaweza kupata taarifa sahihi kuhusu shule: habari, matangazo, masuala ya kitaaluma, nyaraka, matukio, picha na maisha ya shule, vyote mahali pamoja. Nina furaha kuchangia dhamira ya shule ya "Elimu, Kazi na Ubinadamu" kupitia teknolojia rahisi kutumia, inayofikia watumiaji wengi, na rahisi kwa usimamizi wa shule kutunza na kusasisha.

Siriyako E.
Siriyako E. Mtengenezaji wa Tovuti · Msanidi wa Mifumo

Shule ya Sekondari Mbinga ni zaidi ya mahali pa kujifunza masomo, ni mahali ambapo wanafunzi wetu wanajengwa kimaadili, kiakili na kijamii ili waweze kuwa raia wema wenye tija katika jamii. Tunajivunia kufundisha kwa moyo, kuongoza kwa mfano, na kuwaandaa vijana wetu kukabiliana na changamoto za dunia ya sasa. Kila mwaka tunashuhudia wahitimu wakiondoka shuleni wakiwa wamejaa maarifa, nidhamu na ari ya kuchangia maendeleo ya taifa letu. Hii ndiyo dhamira yetu kupitia kaulimbiu yetu: Elimu, Kazi na Ubinadamu.

Agapiti C Kinunda Mkuu wa Shule . Mbinga Sekondari

Frequently Asked Questions

Find answers to common questions about our services and school.

Admissions How can a student apply for admission?

Admission is done according to the national secondary education guidelines. Parents or guardians should visit the school administration office during working hours with the required documents (birth certificate, primary...

Show more
Admissions What documents are required for registration?

Typically you will need: the student's birth certificate or affidavit, primary school leaving certificate / results, recent passport-size photographs, and parent/guardian identification. Confirm the full list with the sc...

Show more
Academics Which classes / forms does the school offer?

The school offers ordinary secondary education (Form I–IV) following the national curriculum. Students prepare for the Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) and related continuous assessments.

Show more
Academics How can parents follow academic progress?

Academic progress is monitored through continuous assessment, terminal examinations and formal reports. Parents are encouraged to attend school meetings and contact class teachers or the academic office for individual fe...

Show more
Sauti yako

Toa maoni yako kwa MBINGA SECONDARY SCHOOL

Alumni and visitors are welcome to share views.

DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050