Contact Us
Wazazi, wanafunzi, wahitimu na wageni mnakaribishwa kuwasiliana na Shule ya Sekondari Mbinga. Tumia simu, barua pepe au WhatsApp hapa chini katika saa za ofisi, au tuma ujumbe kupitia fomu ya maoni. Tutajibu haraka iwezekanavyo.
School office
MBINGA SECONDARY SCHOOL
Address
Mbicu, Mbinga Mjini B, Mbinga Town Council, Ruvuma, Tanzania
Office hours
Jumatatu - Ijumaa, 7:30AM - 03:30pm
Reach us
Direct contacts
Tap a card to call, email, or open WhatsApp.
More information
Ofisi ya shule inafanya kazi siku za wiki katika saa za kawaida za kazi. Kwa uandikishaji, tafadhali leta cheti cha kuzaliwa cha mwanafunzi, matokeo ya mtihani wa kumaliza shule ya msingi, picha za pasipoti, na kitambulisho cha mzazi/mlezi.Maswali ya kitaaluma yanaweza kuelekezwa ofisi ya taaluma; nidhamu na bweni kwa walimu wanaohusika. Kwa dharura nje ya saa za ofisi, tumia namba za simu au WhatsApp zilizochapishwa kwenye ukurasa huu.Wageni wanatakiwa kuripoti ofisini wanapofika. Nyaraka rasmi, habari na matangazo yapo kwenye tovuti hii chini ya Documents, News na Announcements.